Quotes by Raphael JL: Ushawishi wowote kazi yake ni KUGEUZA MOYO kuelekea kule ambako mshawishi anataka, yaani kubadili mfumo mzima wa kufikiri na kuamua kwa mtu ili aweze kufanya kinyume na alivyokuwa mwanzoni. Kila ushawishi una NIA-ROHO nyuma yake. INFLUENCE IS A FUNCTION OF MOTIVE.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni