Ads Top

ABILITY IS A FUNCTION OF CHARACTER, INVESTMENT AND DARING.


Quotes by Raphael JL: Njia rahisi ya kujua uwezo wako ni KUFANYA na hasa kwenye yale unayoogopa. Kumbuka,kila unachoogopa kinakutumikisha. Uwezo ni kama mbegu,usipoupanda huwezi kujua nguvu yake. Mbegu inatimiza kusudi kwa kupandwa. Acha kujihurumia, huenda adui yako mkubwa ni ufahamu wako. Kumbuka,ndege wa kufugwa ameshatengenezewa mazingira lakini TAI akienda kutafuta chakula hapangi foleni. ABILITY IS A FUNCTION OF CHARACTER, INVESTMENT AND DARING.
Ushirika na Mungu!

Maoni 1 :

  1. Wow that's great,bado najifunza
    Kuikabiri hofu name kuishinda.

    JibuFuta

Inaendeshwa na Blogger.