RELATIONSHIP CAN GIVE YOU WHAT PROTOCAL CANT
Quotes by Raphael JL: Ukiwekeza kwenye urafiki na mahusiano una uhakika wa kupata kibali ambacho itifaki haiwezi kukupa. Boss wako kwa wengine ni rafiki yao. Mtumwa na rafiki ndio utofauti mzuri kati ya itifaki na uhusiano. RELATIONSHIP CAN GIVE YOU WHAT PROTOCAL CANT. Tai sio Njiwa,ila wote ni ndege.
Ushirika na Mungu!
Hakuna maoni: