TUSI LA ADUI HALIUMI Imechapishwa na Musa tarehe Oktoba 13, 2017 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Quotes by Raphael JL: Mtu asiekuelewa atakuchosha sana maana hawezi kuona wema na thamani yako. Badala ya kuumia kwa kuwa asiekuelewa hakubaliani na unachosema au kufanya, furahia na yule anaekuelewa. TUSI LA ADUI HALIUMI. Ushirika na Mungu! Maoni
Maoni
Chapisha Maoni