Quotes by Raphael JL:Ni rahisi sana kuwa na mahusiano ya kiMungu kuliko kuwa na mahusiano na Mungu. Ni sawa na kupenda vya Mungu kuliko kumpenda Mungu. Ni sawa na kupenda mikono ya Mungu kuliko moyo wake.
YOU MAY LIVE A GODLY LIFE WITH GOD HIMSELF ABSENT.
Ushirika na Mungu!
Hakuna maoni: