Ni lazima uwe nacho cha kutoa, ili uwe nacho ni lazima ukipate, kama kijana ni muhimu kujifunza kutoa, fanya kazi halali ili upate cha kutoa. Wasaidie wanyonge na waiojiweza, punguza starehe na ubinafsi,kidogo ulicho nacho anachokihitaji maskini au mhitaji kina thamani kuliko kusubiria upate kikubwa, anzia hapo ulipo na ulichonacho.
Wasaidie wanaohitaji.
Wasaidie wanaohitaji.

Maoni
Chapisha Maoni