Kumpinga na kumchukia asemaye kweli

Kumchukia na kumpinga asemaye  kweli kwakuwa alisemalo linakuuma kwani ndivyo ulivyo, ni sawa na kujifanya umesahau jinsi yako.

Wasemayo wasema kwelu haypingwi na maneno ya mdomoni bali muda hawathibitisha.


Maoni