Mkono wa Bwana unazo nguvu


Mkono wa Bwana unazo nguvu za kukulinda na kukuvusha mahali ulipokwama. Yeye Mungu anayo mamlaka na anazo nguvu juu ya mazingira na hali yoyote unayopitia. Maneno haya yawe halisi kwako sasa kwa jina la Yesu Kristo.

Maoni