Video hii fupi imetengenezwa toka katika mafundisho ya kila Jumapili ya kanisa la vijana katika kanisa la CCC Miyuji TAG Dodoma tarehe 9.9.2012.
Mafundisho haya yanaletwa na Mchungaji wa vijana Raphael J Lyela na recording yake ilifanywa na STARSHA FILM STUDIO chini ya Mr Fredy Okuku ambaye unaweza kuwasiliana nae kwa namba 0756902679.

Maoni
Chapisha Maoni