Bwana Yesu asifiwe sana
Kwa mara ya kwanza tumeanda FELLOWSHIP YA WAFANYAKAZI
WAKIKRISTO DODOMA ITAKAYOKUWA INAFANYIKA KILA MWEZI NA KWA MARA YA KWANZA
TUTAIANZA MWEZI HUU WA TISA.
KAMA WEWE NI MFANYAKAZI (umeajiriwa au kujiajiri, unasubiri
kuanza ajira) NA NI MKRISTO KARIBU TUJUMUIKE PAMOJA KILA MWEZI TUKIUJENGA
UFALME WA MUNGU VYEMA DODOMA.
kwa mawasiliano zaidi...
Musa Joseph
0717720072
Mratibu wa Fellowship

Maoni
Chapisha Maoni