MUNGU NI MWENYE HAKI- yaani yeye mwenyewe anatenda mambo ya kweli na yaliyosawa, kila neno lake au tendo lake na hata tabia yake imebeba haki, imebeba kutenda sawa bila upendeleo wala hila.Ili umpe Mungu haki hii popote ulipo inakupasa ujifunze kuwa mkweli kwa kuruhusu KWELI IKUTAKASE,ukae mbali na uongo na hila.Kwani ni wazi kuwa HUWEZI KUMUWAKILISHA MUNGU MWENYE HAKI kama hata haki yenyewe wewe huna. UFALME WA MUNGU NA HAKI YAKE KWANZA.By Raphael JL:

Maoni
Chapisha Maoni