HAKI ZA MUNGU:1. KUJULIKANA


Huwezi ukampa Mungu haki hii kama wewe mwenyewe humjui na hajulikani kwako. Ukimjua utamtambulisha kwa wengine. Mfanye ajulikane.Watu wajue unae Mungu, kwamba ni yeye aliyefanya yale. Kabla siku hii haijaisha basi fanya jambo moja tu litakalomfanya Mungu wako AJULIKANE mahali ulipo. Ufalme wa Mungu na HAKI yake kwanza.By Raphael JL:

Maoni