PLEASE NOTE that singing or music is NOT THE END TO OR FOR WORSHIP, they are both tools for worship just like praying or confession. If your heart is right with God then all the tools and activities of worship makes sense. So as you sing,dont ending up worshipping the song or the singing or the music or the instruments. ALL THESE SHOULD LEAD YOU TO THE DESTINY-GOD. Hatma ya ibada yangu ni Mungu.Ninapoabudu kwa kuimba au kupiga vyombo najua ni zana za kunisaidia kutengeneza nidhamu ndani ya akili yangu isitawanyike na Mungu hujidhihirisha ndani yake. Mwabudu Halisi anajua kuwa kila anachotumia kama shughuli au chombo cha ibada sio mwisho wa ibada. Kumbuka kuwa hata hivyo wewe ni HEKALU LA MUNGU na kila hekalu hufanya ibada na shughuli zake kama kutoa sadaka au kuomba au kucheza ila vyote ni kwa ajili ya MUNGU.Yes, GOD IS THE HIGHEST LEVEL OF DESTINY. Heart2Heart Worship Moments by Raphael JL

Maoni
Chapisha Maoni