Sauti nzuri na yenye mvuto isiyo na nguvu za Mungu ndani yake hutumika kwa ajili ya kuburudisha. Kumbuka NGUVU ZA MUNGU hazikai kwenye sauti. ZINAKAA MOYONI. Na ili zikae moyoni zinatakiwa zionekane katika maisha ya kila siku ya MWABUDU HALISI. Ugumu hauko kwenye sauti au kuimba au kutoa sauti. Ugumu uko kwenye upande wa moyo. HEART TO HEART WOSHIP MOMENTS By Raphael JL:

Maoni
Chapisha Maoni