UTAMTAMBUAJE WA KUAMBATANA NAWE?
- Si rahisi wala si ngumu kumfahamu, ni kiasi cha kuamua na kukukubali kulipa gharama kwa muda, lakini ukishatoka hapo ni tambarare kwa Yesu hakuna milima.
- Pia jifunze kushirikisha wengine unaowaamini na kumbuka si kila mtu anafaa kuambiwa ila yule tuu unayemwamini.
- Jifunze kwa delila na samson.
- Mtu huyo utamtambua kwa mzigo atakaokuwa nao kwa habari ya chochote utakachomshirikisha.
- Mtu huyo hatokuwa na hila kwako, atakufichia siri zako na neno lako litakuwa neno lake. Hatofurahia mabaya yakikupata.
- Mtu huyo hatokuwa na hila na kila utachomshirikisha ama maono yako au ndoto zako atazifurahia hatokuwa kama Yusufu na ndugu zake, bali atakutia moyo ili usonge mbele bila hila na hiana yoyote.
- Hivyo basi hakuna namna yoyote tunaweza fanya kukwepa gharama ya kumtafuta Mungu ili akupe mtu sahihi wakuambatana naye.
- Acha uzoefu wakibinadamu mtazame Yesu aonaye sirini.
- Jifunze kwa Yesu jinsi alivyohangaika wa kuambatana naye baada ya kujifichua.
- Ukikosea wa kuambatana naye hata kama umejifichua ni kazi bure.
Usikose kuwepo
Usikose nakala yako
39 DAYS LEFT
30/10/2016
Mratibu wa Fichuka.
Musa Joseph
0717720072
http://fichuka.blogspot.com

Maoni
Chapisha Maoni