Ambassador of Christ
YESU Asifiwe..
Kumbuka hili siku zote rafiki
"Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko" Luk 24:45
Huwezi ukafanya kazi ya MUNGU kiusahihi bila FIKRA zako kuuunganishwa na NENO LA MUNGU pamoja na ROHO MTAKATIFU!
Kumbuka akili haikai rohoni ukaa kwenye nafsi na nafsi, ndani ya nafsi kuna fikra ambazo ziliumbwa zikae humo zitumike kuweka aina na kiwango cha maisha Cha mtu! Na FIKRA ni mkusanyiko wa mawazo yaliyo katika mtiririko fulani ambayo utengeneza msimamo wa kiutendaji wa mtu!
Na kama MUNGU hajatengeneza akili zako kuwa na uhakika utakuwa unatawaliwa na akili zisizofaa.
Kumbuka akili ziko ndani ya nafsi=FIKRA na FIKRA ziliumbwa kukaa na ushirikiano na NENO la MUNGU na ROHO MTAKATIFU
Bila kufunguliwa akili chochote utakachosoma uwezi elewa, uwezi pata maarifa, ndiyo maana akili yatakiwa kufunguliwa pamoja na vitabu vyenye maarifa usomavyo! Msihi MUNGU kila anapokupa kusoma NENO lake na vitabu vingine vyenye maarifa afungue akili zako ili upate maarifa kutokea humo kwa wakati ulioamriwa!
UFALME KWANZA
Naibariki wiki yako
Naibariki Jumamosi yako
..."Jesus Up"...

Maoni
Chapisha Maoni