NENO LA MUNGU LITASIMAMA MILELE
YKM Kingdom Transformers:
Ili uaminike na jamii kama kiongozi ktk ujana wako ni lazima ukubali kulipa gharama ya kuwa MUADILIFU, yaani kuhakikisha kuwa hakuna utofauti kati ya MAWAZO, MANENO na MATENDO yako, Neno la Mungu lina uwezo wa kukutengenezea huo uadilifu kwani LINATEGEMEKA, kumbuka mambo yote yatapita LAKINI Neno la Mungu litadumu milele, lifanye Neno la Mungu liwe NGUZO ya imani yako ktk uongozi wako nawe utafanikiwa.
Isaya 40:8.
8 Majani yakauka, ua lanyauka;Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
Jesus Up-YKM!
Hakuna maoni: