HOW SAFE ARE WE? - 2


UKIWEZA CHUKUA: Lucifer ndo alipewa kukitia muhuri kipimo, alijaa hekima na ukamilifu wa uzuri. Aliumbwa na madini kama yakuti manjano, almasi, dhahabu pamoja na matari na filimbi na vinanda. Ndo maana nasema Lucifer anapokuja kukuharibu kama alivyojiharibu mwenyewe haangalii uzuri wako au umaarufu wako au kipaji chako au utanashati wako. Infact atakuharibu kwa kutumia huo uzuri wako, uimbaji wako, utanashati wako kama ilivyotokea kwake. MAJIVUNO NA KIBURI ndio msingi wa uharibifu, kama ilivyokuwa kwake ndivyo inaweza pia kuwa kwako mpendwa. Kumbuka majivuno na kiburi cha Lucifer yalikuwa ni juu UZURI WAKE, VIPAJI VYAKE. HOW SAFE ARE WE?

Maoni