JIFUNZE KWA ADAM


Quotes by Raphael JL:Lucifer aliondolewa EDENI kwa nguvu kwa majivuno na kiburi,akatupwa mbali na uwepo wa Mungu. Naye akamtoa Adam EDENI kwa hila bila kujali uwezo alokuwa nao Adam. Usipojifunza kwa Adam,hutalikwepa kosa la Lucifer. FIX ME JESUS.

Mungu Kwanza-YKM!

Maoni