MARUFUKU KUKATA TAMAA



Wewe sio wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho KUPINGWA na KUKATALIWA na KUDHARAULIWA.
Ukichagua na kuamua kuacha kwa kuwa umepingwa bado wewe sio wa kwanza.

Yaaani wewe sio wa kwanza kufanikiwa na wala huwezi kuwa wa mwisho. Kwahiyo mafanikio yasikuharibu moyo wako na wala kutokufanikiwa kusikufanye umkatae Mungu.
Wapo waliosemwa kuliko wewe. Wapo walio dharauliwa na kukataliwa kuliko wewe. Wewe ulikosa tu maji,wapo waliokosa maji na chakula. Wewe ulipata hata ndizi mbivu ukala,wapo waliookota maganda ya ndizi ulotupa wakala.

Kuanzia Leo, NI MARUFUKU KUKATA TAMAA. NI MARUFUKU KUJIHURUMIA WALA KUHUTUMIWA. NAKUKEMEA KWA JINA LA YESU. 
Wewe unalia machozi yanajaa kijiko,mwenzio kalia kajaza pipa. JENGA MTAZAMO HUU NDANI YAKO. Hata unalopitia Leo LITAPITA. CHAGUA KUWA NA MUNGU ASIYEBADILIKA. UPENDO WAKE NI ULEULE JANA,LEO NA KESHO.

Kama unahitaji maombi specifically karibu kwa namba hii 0767033300. UPO UWEZA WA MUNGU UTOSHAO. Hata hivo  issue yako ni ya 21st C,ungesema nini  ungekuwepo karner ya 14?

NGUVU ZA MUNGU ZIKUSHUKIE NA KUKUBADILISHA. AMKA,WEWE NI SHUJAA.

MGODI WA FICHUKA.

Jesus Up!

Maoni