DODOMA CHRISTIAN WORKERS FELLOWSHIP (DCWF) - INAKUKARIBISHA


DCWF INAKULETEA FELLOWSHIP YA MWISHO WA MWAKA KWA WAFANYAKAZI WOTE WALIOJIAJIRI NA KUAJIRIWA, WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIA MALI WOTE, WANAOTAFUTA KAZI  NA WENGINE WOTE

WOTE TUNAKARIBISHWA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU KWA HABARI YA KUTEMBEA NA KUFANYA KAZI NA MUNGU

MAHALI: DEAR MAMA HOTEL DODOMA (njia panda ya Area C, pembeni ya sheli)
MUDA: SAA NANE KAMILI MCHANA

NI BURE

MUNGU AKUBARIKI

Maoni