Quotes by Raphael JL:Unapoanza kutembea na kufanya na kazi na Mungu usilazimishe kila mtu akuelewe hapohapo,wala usiumie usipoeleweka ukadhani umekosea,si wote wapo kukuelewa hata hivyo wengine WANAWEZA KUCHELEWA KUKUELEWA,ILA WATAELEWA TU majira yakifika. Mtaji wako ni Mungu kukuelewa. Wengine hawatakuelewa maana wanakuogopa,na wengine ni akina Sanbalati. GOD IS MY STANDARD. Happy 2017.
Ushirika na Mungu!

Maoni
Chapisha Maoni