Quotes by Raphael JL:Kiburi na majivuno kwasabu ya uzuri na kipaji chako kinaweza kikakufanya ujikute unaishi kwenye kisiwa cha upweke,kwani hata ambao wangekushauri watakaa mbali na upupu wa umaarufu wako. Kama hamna anaeweza kukuonya ujue una ukoma moyoni.
KIPAJI SIO MWISHO.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni