Pastor Raphael Lyela kama mwanzilishi wa Huduma ya vijana ya YKM anakukaribisha na kukualika kutembelea Tovuti yake binafsi ili uendelee kujifunza na kujua mengi kutoka kwake kama mtumwa wa Bwana.
TOVUTI HIYO NI www.raphaellyela.co.tz
HUMO UTAPATA:
MAFUNDISHO MBALI MBALI
KITABU CHAKE CHA KWANZA
HUDUMA MBALI MBALI ALIZONAZO
MATUKIO TOFAUTI
BIDHAA TOFAUTI KAMA T-SHIRTS N.K
TEMBELEA SASA NA UJIUNGE NAYE PIA UTAPATA KUWASILIANA NAYE NA KUMUALIKA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI AJE KUSHIRIKI NANYI.
BONYEZA www.raphaellyela.co.tz
USISAHAU KUMTUMIA NA KUMJULISHA MWINGINE www.raphaellyela.co.tz
MUNGU AKUBARIKI SANA
2017_USHIRIKA_NA_MUNGU

Maoni
Chapisha Maoni