Quotes by Raphael JL:Utoshelevu ndani ya Mungu, kutosheka kunakozaliwa na uwingi wa uwepo wa Mungu ndani ya mtu na uhakika kuwa Mungu yuko pamoja na wewe ndio kipimo cha mwisho cha mafanikio na huleta utulivu unaokuhakikishia kuwa hatma yako iko mikononi mwa Mungu. GOD FLOURISHES ME.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni