DISCOVER YOURSELF IN GOD.


Quotes by Raphael JL:Kujitambua ndani ya Mungu ndio msingi pekee wa mabadiliko ya mtu,kumbuka sio kila elimu nzuri ya kujitambua ni sahihi. Ushahidi kwamba umejitambua utaanza kuonekana katika namna unavyo muheshimu Mungu katika maamuzi yako kila siku. DISCOVER YOURSELF IN GOD.
Ushirika na Mungu!

Maoni