Quotes by Raphael JL:Dhahabu haibadiliki na kuwa chokaa kwa kuiweka jalalani, thamani yako haipotei tu kwasababu umedharauliwa,umekataliwa,umetupwa jalalani au umeambiwa huna thamani. Kumbuka kupingwa sio kuzuiwa na kupinga uwepo wa kitu haukiondoi hicho kitu.
MY VALUE IS GOD.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni