Ads Top

BADILIKA. BADILISHWA. BADILISHA


Quotes by Raphael JL: Huwezi kubadilika kama hujaamua. Huwezi kumbadilisha mwingine kama wewe hujabadilika kwanza labda uwe mganga wa kienyeji. Moyo mchafu hausafishwi kwa kunawa mikono. BADILIKA. BADILISHWA. BADILISHA. Fix me Jesus.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.