Ads Top

DECISIONS HAVE A COSTING ACCOUNT


Quotes by Raphael JL: Kuna mambo ni bora usiamue kama hujapiga hesabu ya gharama yake.Mara nyingi ukiamua ujue unaiharakisha gharama kuja na kukujaribu. Ukiamua tu kufunga utashangaa njaa inauma kuliko jana,utaalikwa kwenye sherehe au utapewa mtoko ambao kuukataa ni kujichuia. Ukiamua tu kusema utaenda, vikwazo vya kukubakisha ili usiende ghafla vinakuwa vikubwa kama mlima Kilimanjaro. Nilitaka tu kukwambia gharama ya maamui imejificha kwenye kumaanisha kuamua,kama hujamaanisha kulipa gharama we nenda ukaangalie Isidingo na unataka kufanikiwa. DECISIONS HAVE A COSTING ACCOUNT.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.