EVERY JOURNEY HAS A STARTING POINT.
EVERY JOURNEY HAS A STARTING POINT.
📌The reason to start a friendship is as vital as the starting and the DESTINY of the same friendship.
[hakuna urafiki unaweza kudumu nje ya SABABU NA NIA iliyoanzisha urafiki huo]
📌WHAT JOINS YOU IS STRONG AND ENOUGH TO SUSTAIN OR BRAKE YOU,NOW OR LATER.
💡 Ndani ya SABABU inayowaunganisha na kuanzisha urafiki huwa kuna kitu kimejificha kinaitwa NIA. Ndani ya nia, ambayo kimsingi ni msimamo wa kimaamuzi uliokusudia jambo, ndani yake ndimo kumejaa USAFI au HILA kwa kiwango cha UOVU as such, kama mmoja wenu akiacha kufanya aliyokuwa anafanya wakati wa kuanzisha urafiki basi LADHA ya urafiki huo kudumu huanza kuyeyuka.
📜 Ngoja nitoe mfano:
Urafiki unapoanzia shuleni au makanisani kwamba mko pamoja praise team au mmekutana kwenye basi, fursa za urafiki huo kudumu zinategemea sana THE LEVEL OF HONESTY kwa wote wawili na hasa yule alieanzisha.
Kwamba kama mmekuwa marafiki kwakuwa mnaimba pamoja basi ni wazi kuwa mkiacha kuimba urafiki unakufa UNLESS kuna kubwa zaidi lipo kati kati kuliko kuimba, yaani zipo sababu naziita SABABU UNGANISHI,yaani mnaunganishwa na kusafiri pamoja halafu ndo inakuwa nitolee.
🕹 Halafu kuna kitu nakiita PIN DROP TURNING POINT kwenye urafiki. PDTP ni siku ile, ni sekunde ile na mazingira yale na maamuzi yale ambapo mmoja kati ya marafiki anaanza kumuona mwingine kuwa ANAFAA KUWA MKE AU MUME lakini anayo maamuzi ya kukaa kimya kwa muda atakoweza ila kila anachofanya kinakuwa KINAONGEZA THAMANI kwenye ule mbadiliko wa kumchukulia mwenzie, hapa ndo inakuwa kama MAWINDO MINISTRY.
📋 kwa leo tumejifunza: SAFARI YA NDOA INAANZIA NA URAFIKI HALISI, GENIUNE FRIENDSHIP-PIN DROP TURNING POINT.EVERY JOURNEY HAS A STARTING POINT
🔑 Kuna point moja kubwa saaaaaana haiwezi kusubiri kesho...naomba kuisema....
kitu kinaita UHARIBIFU WA UZURI SYNDROME...
💡 Hapo naamanisha SIO KILA ANAEONEKANA MZURI NA ANAKUVUTIA BASI ANAKUFAA...
💡 Na hapo namaanisha urafiki unapoanza ni rahisi sana KUMEJA HGL kisa unajua sana kizungu na kumbe wewe combination yako ni PHK,kwamba anaonekana mzuri au handsome na anakuvutia mbaya haimaanishi ANAKUFAA.
💡 Neno KUFAA ni zito na kubwa sana. She can be not sooooo cute but NDO ANAKUFAA. He may not be so romantically appealing but NDO ANAEKUFAA. So the syndrome iko kwenye fact kwamba HATUPENDI KUKAA MBALI NA VITU VIZURI na hata kama ingekuwa mimi ndo Ruthu leo bado ningechagua BONDE LENYE UKIJANI hata kama sijui bonde liko karibu sana na Sodoma.
🔑 Kama uzuri unaweza kuwa UBATILI basi JANGILI ANAWEZA KUWA MTUNZA FEDHA.
📋 NOTE: Mwanamke aliyetolewa ubavuni ni EVA tu na mwanaume aliyemtoa mwanamke ubavuni ni Adam tu. Sisi wengine wote MUNGU ANAHUSIKA MOJA KWA MOJA,haha hahaha laiti kama Mungu angeumba idadi ya wanawake iwe 50/50 na wanaume. OLE WANGU. haha haha hahaha
Pst. Raphael J. Lyela
Youth Kingdom Ministries
Jesus Up.
www.raphaellyela.co.tz
0767033300
Pia Tembelea:
Fichuka.blogspot.com
Hakuna maoni: