Ads Top

KILA KOSA NI SHULE


Quotes by Raphael JL: Kujutia kosa bila mabadiliko ya tabia na mwenendo ni sawa kulipa kosa likizo, kumbuka usipojifunza kwa kosa la jana hutalikwepa kosa la kesho. KILA KOSA NI SHULE, kujifunza ni maamuzi.
Ushirika na Mungu-YKM!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.