Quotes by Raphael JL: Kutumia kosa la mwalimu au mentor wako kuhalalisha kosa lako ujue bado hujaanza kuishi maisha yako,WEWE NI NAKALA, sio ORIGINAL. Kumbuka kosa halina unafuu hata kama ni la kuiga. WAJIBIKA. Ushirika na Mungu-YKM!
KOSA HALINA UNAFUU
Reviewed by Musa
on
20:46:00
Rating: 5
Hakuna maoni: