Quotes by Raphael JL:Kama hujui kwanini hujui usilazimishe kujua usije ukakosea ukasema hujui kwanini umekosea,na kumbe ulilitengeneza kosa ndani ya kulazimisha kujua kwanini. Fahamu kuwa kila jambo ni jema,zuri na sahihi kwa wakati wake.
KUELEWA NI MCHAKATO.
Ushirika na Mungu!
Hakuna maoni: