KUJISIKIA VIZURI SIO KUBADILIKA
Quotes by Raphael JL: Unaweza ukahudhuria kabisa darasani na usiandike. Unaweza ukaandika na usielewe. Unaweza ukaelewa kabisa na usifanye. Unaweza ukafanya kabisa na ukakosea. Kwani mchakato ni kanuni inayolazimisha nidhamu ya kuamua kufanya lolote. Bila kuamua utabaki kuwa mfuasi wa Kuhurumiwa. KUJISIKIA VIZURI SIO KUBADILIKA.
Ushirika na MUNGU!
Hakuna maoni: