Quotes by Raphael JL: Kujitambua ni matokeo ya kupata taarifa na maarifa au ufahamu sahihi kuhusu uhalisia wa wewe ni nani katikana namna ambayo utajua uwezo na thamani yako,utajua haki zako zote bila kusahau kujua wajibu wako popote ulipo.
KUJITAMBUA NI ULINZI.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni