KUPOTEA KUNA RAHA YAKE.
Quotes by Raphael JL:Yesu Kristo ni Mungu,na alikuwa mbinguni kwenye utukufu wa kutosha ambako wote tunatamani kwenda lakini pamoja na hayo yote alikuwa mnyenyekevu hata kufa msalabani,wewe mtoto wa balozi na umenunua Vitz tu hata kusalimia watu unaona uzito? Ukiona kila ukipata hela unanunua nguo mpya,simu mpya,saa mpya ujue una akiba ya uharibifu ndani yako. KUPOTEA KUNA RAHA YAKE.
Ushirika na Mungu!
Hakuna maoni: