Ads Top

KUPOTEA KUNA RAHA YAKE


Quotes by Raphael JL: Kumdharau mtu mwenye uwezo mkubwa kuliko wewe, haikufanyi wewe uchukue uwezo wake au kuufanya ule uwezo wake upotee. Kumkataa au kutomkubali mtu mwenye uwezo hakumfanyi asifanikiwe. Kujiona hufai kwakuwa umeishi maisha magumu hakuondoi thamani iliyoko ndani yako. Hata kujidharau ni maamuzi. KUPOTEA KUNA RAHA YAKE.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.