MABADILIKO NI MAAMUZI


Quotes by Raphael JL: Ukiona hubadiliki kwenye tabia usiyoipenda na tena unaichukia,ujue aidha unaifurahia kimyakimwa na hiyo hutaki kuicha au umeamua kudhihilisha jinsi unavyojichukia. Kumbuka mabadiliko ni maamuzi yanayosukumwa na neema ya Mungu. FIX ME JESUS!
Ushirika na Mungu!

Maoni