Ads Top

MACHOZI YASIYOBADILISHA


Nukuu za Raphael JL: Kulia machozi yasiyobadilisha tabia na mwenendo ni sawa na kupunguza maji mwilini,drip itakuhusu. Mabadiliko ya kweli ni zaidi ya hisia za kujihurumia au kuwafanya wengine waone umeguswa. BADILIKA. BADILISHWA. BADILISHA.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.