NO LEFT OVERS FOR GOD CAMPAIGN
NO LEFT OVERS FOR GOD CAMPAIGN
Biblically, LEFT OVERS were meant for poor people, but my God is not poor to give Him the left overs of my time and energy. Left overs in my offerings. MY GOD IS NOT A GOD OF LEFT OVERS.
Usimpe Bwana makombo ya nguvu zako, usimpe Bwana makombo ya uwezo wako, usimpe Bwana SCRAPER ya matumizi yako. Usimpe Bwana uchovu wa siku yako, usimpe Bwana makombo ya kipaji chako. Usimpe Bwana ujinga wa ufahamu wako, usimpe Bwana makombo ya muda wako kwa siku. Mpe Bwana unono wa moyo wako, mpe uwezo wa nguvu zako, mpe fahari ya ujana wako. Mpe Bwana ubichi wa masaa yako kwa siku, mpe Bwana uzuri wa furaha yako. Mpe Bwana.
I REFUSE TO GIVE GOD ANY LEFT OVER OF ANYTHING FROM ME. This is because, HE ALWAYS GIVE ME FRESH FOOD FROM HIS TABLE, FRESH AIR EVERYDAY. NAKATAA KUMPA MUNGU MABAKI NA MAKOMBO YA UKUU WANGU. NAKATAA KWA JINA LA YESU KUANZIA LEO.
By Raphael JL:
Hakuna maoni: