Quotes by Raphael JL:Kuendelea kujilinganisha na kujifananisha na mtu mwingine,hakuamishi uwezo wake kuwa wako,ila kunakufanya wewe kuwa mtumwa aliekubuhu katika ujinga kwa kiwango ambacho hauko tayari wala haujivuni kuwa WEWE. Kama Mungu aliyekuumba hakulinganishi wewe na yoyote,lazima uwe una akili za kasuku kutamani kuwa kama mwingine. ORIGINAL IS TRUTH.
Ushirika na Mungu!

Maoni
Chapisha Maoni