UJINGA UNA RAHA YAKE


Quotes by Raphael JL: Katika kujifunza ni vizuri kuelewa kuwa jambo lolote usilolielewa halitakusaidia na wala usihangaike nalo,fahamu kuwa kuelewa ni mchakato na kipimo kwamba umeelewa ni utekelezaji. Jipime,umejifunza mangapi uliyoyaelewa na kuyatekeleza? UJINGA UNA RAHA YAKE. 
Ushirika na Mungu!

Maoni