Quotes by Raphael JL:Ukiwa na jambo lako, shida au raha yako unataka watu washiriki kuliko wewe unavyoshiriki kwenye mambo yao mpaka unajenga chuki ukiona unatuma ujumbe au tangazo na hakuna hata mtu anaeuliza wala kuchangamkia,kama kinakuuma ujue umejificha ndani ya kichaka cha mti wa upupu na uko kifua wazi. UNALOPENDA KUFANYIWA,WAFANYIE WENGINE. Fix me Jesus.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni