Quotes by Raphael JL: Usidanganyike, upendo wa Mungu kwetu haubadiliki kimazingira au kimuda, alitupenda kwanza akatuchagua, upendo wake haupungui na kuongezeka kama kupwa na kujaa kwa maji. JANA, LEO NA MILELE UPENDO WAKE WADUMU. God Sustains.
Ushirika na Mungu-YKM!
Hakuna maoni: