USHIRIKA NA MUNGU


GOD has bestowed in you, He has INVESTED in your life so much. GOD has put so much and so many riches and potentials.
Keep RECONCILING people to GOD daily. Utafute uso wa Mungu kila siku, Ongeza kiwango cha USHIRIKA na NENO - ROHO MTAKATIFU  na Mungu Baba.
Usisahau Mungu wako ni mwema.
By Raphael JL.

Maoni