Quotes by Raphael JL: Utoshelevu wako unapokuwa ndani ya Mungu, na Mungu anapokuwa ndio utoshelevu wako basi KURIDHIKA kunazaa UTULIVU kwa namna ambayo chochote ambacho sio Mungu au hakina Mungu HAKIWEZI kukutisha. In God, AM UNTINGISHIKABLE. Mungu Akustawishe.
Ushirika na Mungu-YKM!
Hakuna maoni: