Ads Top

UTUMWA UNA RAHA YAKE KAMA KUPOTEA.


Quotes by Raphael JL: Utajuaje wewe ni mtumwa wa rafiki yako? Angalia jinsi unavyolegeza vipimo na kanuni ili kumridhisha na ili  asijisikie vibaya. Utumwa mzuri zaidi ni kujua hivo na bado unaogopa kuwa mkweli. UTUMWA UNA RAHA YAKE KAMA KUPOTEA.
Mungu Kwanza-YKM!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.