WEWE NI WAZO LA MUNGU


Quotes by Raphael JL: Kama mpaka leo bado unajichubua au kumeza vidonge ili rangi ya ngozi yako iwe kama ya mzungu ujue  nguruwe ana akili kuliko wewe,na hiyo ni ishara kwamba unafurahia kutokujitambua na unapenda utumwa. Kumbuka wewe sio ajali,wewe ni wazo la Mungu. FIX ME JESUS.
Ushirika na Mungu!

Maoni