WORSHIP IS THE ESSENCE OF LIFE.


Quotes by Raphael JL:Ukiona unamuogopa au unamuheshimu mtu kwasababu ya kipaji,uwezo au cheo chake mpaka unajiona wewe si kitu fahamu kuwa UNAMUABUDU,na huku yeye anakiabudu kipaji au uwezo wake,ni Mungu tu anatakiwa kupewa heshima iliyopitiliza. Worship is the highest form of respect. WORSHIP IS THE ESSENCE OF LIFE.
Ushirika na Mungu!

Maoni