Ads Top

APPRICIATE ONE LEADER TODAY



Quotes by Raphael JL: Kiongozi aneweza kuleta mabadiliko ya kudumu kwa jamii ni yule aliyejitambua na kujua thamani yake, anajua umuhimu wake, anajua wajibu na haki yake, anajiamini na kujikubali na yuko tayari kuwaza na kufanya mambo kwa namna tofauti hata kama namna hiyo haijawahi kufanywa na mtu yoyote duniani. Namna unavyotafsiri mambo kupitia ufahamu wako ndio eneo pekee linaloweza kusema wewe ni kiongozi au mfuasi. APPRICIATE ONE LEADER TODAY.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.